ZIJUE FAIDA ZA TAKA NGUMU ZA CHUPA ZA PLASTIKI NA KARATASI ZA MADAFTARI NA MAGAZETI
- Husaidia kupunguza taka ngumu katika mazingira yetu hivyo basi kutusaidia kuyaweka mazingira yeu katika hali ya usafi na uzuri wake wa asili.
- Kujipatia fedha au kipato kwa kuuza bidhaa hizi kama mapampo.
- unaweza kuzitumia kama mapambo ya nyumbani kwako ili kuipendezesha nyumba yako na kuifanya kuwa ya kipekee.
- Zinaweza kuwa ajira kwa wale wasio na ajira. kwa kuzingatia wakati huu tulio nao ambapo ajira limekuwa tatizo kubwa katika nchi yetu.
- Kukuza ubunifu na upeo wa kufikiria mbali na kawaida.
